Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Imf said tanzania will overtake kenya in 2021 if it continue to grow in 7 percent. In real estate it has overtake kenya by $3 billion, kenya acheni ukora kujitamba kwa Real estate na kujilinganisha na tanzania
Souce: daily business africa, the citizen magazine and imf
Imf said tanzania will overtake kenya in 2021 if it continue to grow in 7 percent. In real estate it has overtake kenya by $3 billion, kenya acheni ukora kujitamba kwa Real estate na kujilinganisha na tanzania
Souce: daily business africa, the citizen magazine and imf
Sisi ambao hatufanyi maandamo kila siku wala uchaguzi milion 43 tsh ni Kenya million 2 ksh wacha tu waendelee na maandamano yao tu aise maana kama yanawasaidia vileKenya inafanya elections 2017-2020 kila siku Kampeni za Kisiasa tu na maandamano, sasa hivi wanataka kuanza tena Katiba nyingine wkt hii iliyopo wala hawajaitunia, tutawakuta hawa morons muda siyo mrefu!
nice nameNyumba Tanzania Kwa sasa hazina soko, hali ya uchumi ni mbaya wapangaji hakuna kodi zimeporomoka kabisa
Kenya kwa statics mnakuaga poa lakini ikija kwenye vitendo hakuna kitu mnakuaga na pilot project zinazokua white elephant. Angalieni tu 2017 mlishindwa kufikia kiwango cha gdp mlichotegemea na kujitamba kuongoza east africa kwa real estate hta umu j. Forum lakini tumewaacha kwa $3 billionso sweet when watanzania wanajipa moyo..😀😀😛😛.lol!! Kenya msahau kabisa kuipita...pengine mng'ang'ane na Ghana...
IMF forecast data shows that by 2022, Kenya’s economy will stand at $113 billion against Tanzania’s $78 billion, hinting that catching up with Kenya will take a longer time, if at all it will.
hivi nikuulize, ni kwanini 2017 Kenya ilikosa kuifikia kiwango kilichotarajiwa? tena nikuulize kama uchaguzi Kenya huwa inafanywa kila mwaka ama ni baada ya miaka mitano?Kenya kwa statics mnakuaga poa lakini ikija kwenye vitendo hakuna kitu mnakuaga na pilot project zinazokua white elephant. Angalieni tu 2017 mlishindwa kufikia kiwango cha gdp mlichotegemea na kujitamba kwa real estate hta umu j. Forum lakini tumewaacha kwa $3 billion
Sababu ni wingi wa pilot project zenu kuwa white elephant, rushwa na ukabila uliosambaa kenya. Mbona tanzania kulikua kuna uchaguzi lakini mambo yakawa poahivi nikuulize, ni kwanini 2017 Kenya ilikosa kuifikia kiwango kilichotarajiwa? tena nikuulize kama uchaguzi Kenya huwa inafanywa kila mwaka ama ni baada ya miaka mitano?
Marekani kila siku kuna maandamano , but uchumi wao upo safi, sijui umetoa wapi hizo fikra kua watu wakiandamana uchumi unaharibika. Kwa Kim Jong Un?Sisi ambao hatufanyi maandamo kila siku wala uchaguzi milion 43 tsh ni Kenya million 2 ksh wacha tu waendelee na maandamano yao tu aise maana kama yanawasaidia vile
kenya sio tanzania ambamo uchaguzi wa urais haukubaliwi kupingwa ktk mahakama...hapa kuna uhuru wa kufuatilia ukweli ama uwongo wa uchaguzi bana...mahali Kenya iko kwa sasa, Tanzania inahitaji miaka kumi ili ifike...Sababu ni wingi wa pilot project zenu kuwa white elephant, rushwa na ukabila uliosambaa kenya. Mbona tanzania kulikua kuna uchaguzi lakini mambo yakawa poa
Ukabila ndio unaochochea wala sio democrasia wala uhuru uliopelekea uchaguzi kufutwa. Mnamuonea sana raisi wenu uhurukenya sio tanzania ambamo uchaguzi wa urais haukubaliwi kupingwa ktk mahakama...hapa kuna uhuru wa kufuatilia ukweli ama uwongo wa uchaguzi bana...mahali Kenya iko kwa sasa, Tanzania inahitaji miaka kumi ili ifike...
Ukishaona mtu anapenda sana kutoa sababu za kuhalalisha kushindwa ujue kuna tatizo, kuanzia tulipopata uhuru, Tanzania ilichagua kusimamisha kujenga uchumi, badala yake ilianza kujenga umoja wa kitaifa na kujiingiza kwenye vita vya ukombozi kusini mwa africa, kipindi chote hicho Kenya ilikua inaendelea kujenga uchumi wetu, it was our choice, and every choice has its own outcomes, kamwe hatutumii hiyo sababu kuonyesha kwanini GDP ya Kenya ni kubwa.kenya sio tanzania ambamo uchaguzi wa urais haukubaliwi kupingwa ktk mahakama...hapa kuna uhuru wa kufuatilia ukweli ama uwongo wa uchaguzi bana...mahali Kenya iko kwa sasa, Tanzania inahitaji miaka kumi ili ifike...
World bank au imf????????????????????!✌️Inakera kuona kila saa "world bank said"