Tanzania overtakes SA as Kenya’s top remittance

Duu bro what's wrong with you. How a lockdown of a country prevents the money to enter into it.
Wacha ujinga bwana. Vitu simple kama hizi pia unajifanya huelewi? Sio lazima uwe genius ili ujuwe kwamba lockdowns zimefanya uchumi wa nchi za Kiafrika kuharibika na kuingia into recession. Kwa mfano uchumi wa SA na hata uchumi wa Kenya zimeingia into a recession. Recession maana yake ni kwamba economic activities zimepungua ndani ya nchi kiasi cha kwamba Gdp inadecline badala ya kugrow. Kila sector inakuwa negatively affected na watu wanapigwa kalamu. Hawa immigrants wa Kenya wanaoishi SA kwa mfano baadhi yao waliamua kurudi Kenya badala ya kubaki huko wakati wa lockdown, wengine wao walipoteza kazi zao, halafu wale ambao walibaki huko, wameamua kusave pesa yao wakati huu wa janga hili. Na wakati wa lockdown lazima ujipange kifedha. Sasa kuja unipinge na utoe maelezo vizuri kama mimi nilivyofanya.
 
What do you expect with all the investments Kenyans have done in Tanzania?
 
Very good news, Tanzania is open for business..We hope pres. SSH will encourage more foreigners to invest in Tz and develop the economy.
For the unfortunate idiots who's Forex remittances are now dependent on Tanzania, have manners you now know who is boss
 
Hahaha. You guyz are so desperate.
 

Umetoa maelezo meengi, lakini bado hujaeleza how lockdown in RSA deters the monies to enter RSA. Kumbuka, hapa hatuongelei GDP wala FDI.
 
Umetoa maelezo meengi, lakini bado hujaeleza how lockdown in RSA deters the monies to enter RSA. Kumbuka, hapa hatuongelei GDP wala FDI.
Boss hatuongei kuhusu remittances entering SA bali tunaongelea kuhusu remittances leaving SA and coming to Kenya. I hope unaelewa maana ya neno "remittance".
 
Kenya is now dependent on Tz, Any wrong move and remmitances are cut off. Plus am sure Tz is happy to poach investors from Kenya..let them open up businesses, pay tax and employ Tanzanians..hopefully also send something small to their poor kibera fake mzungus
Hahaha. You guyz are so desperate.
 
my friend, the only thing kenyan teachers bring to Tanzania is "English" nothing more!
 
Boss hatuongei kuhusu remittances entering SA bali tunaongelea kuhusu remittances leaving SA and coming to Kenya. I hope unaelewa maana ya neno "remittance".
Uishi Tanzania,
ulipe kodi ya mshahara/Biashara TRA,
Ukule chakula cha mpishi na mkulima wa Tz,
Ulipe kodi ya nyumba kwa Mtanzania.
Mwisho wa mwezi utume mia Tano kwa ndugu yako kibera..
Hivi unaona nchi gani imefaidika sana?? Mbona mnakuanga ma lofa kiasi hiki?
Cc Geza Ulole eliakeem joto la jiwe
 
my friend, the only thing kenyan teachers bring to Tanzania is "English" nothing more!
Walimu wa Tanzania hawajui Kila kitu hadi hesabu. So Kenyan teachers come to up those chances.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fake mzungus
 
mi
Walimu wa Tanzania hawajui Kila kitu hadi hesabu. So Kenyan teachers come to up those chances.
mimi naongea kama mtz, umuhimu wa waalimu wa kenya ni kiingereza tu, masomo mengine yote tunao waalimu. kwa hiyo umuhimu wenu ni kiingereza tu, hilo limejulikana tangu enzi.
 
Smugglers are not sleeping green garnet, sapphire etc are still being smuggled into Kenya.This happen from a very simple anomaly people to people not wanamgambo ideologies. Comredi lusinde ask your ccm head honcho to build a wall between the hub(kenya) and major source ndaganyiass.
 
Sasa wewe kilaza si ungefanya utafiti uwone how much does Tanzania receive from Kenya ndio uongee😅🤣🤣😅, hamuwezi shirikisha ubongo kwa hoja, kazi ni kukurupuka tu., Check out Kenya is the leading remittance country in Tanzania, not only in Africa but globally😅😅🤣🤣, and it was in 2017., Haya tafuta ya 2021 usiseme tumepika data, uone mlivyo ovyo!😅🤣🤣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…