YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Msimu huu ea mvua madereva wa malori ya TOL wamelalamika kuhusu kuisahau barabara ya kutoka Katumba kwenda Mwakaleli ambako huko.kuna visima vyao vya gesi. Wanasema mtwara kwenye gesi wameoeleka barabara nzuri ambako gesi imegunduliwa juzi tu lakini kule kwenye visima vyao serikali haitaki kupeleka toka nchi ipate uhuru wanaweka mikokoto tu.
Wanasema pia malori ya madereva wenzao yanayobeba chai ilimwayo kwa wingi kule yanashindwa kwenda kwa ubovu wa barabara wakati chai ya kule inaingiza mipesa kibao ya kigeni miaka nenda rudi.
Serikali vizuri kupeleka barabara maeneo ya uxalishaji badala ya ukomalia kujenga barabara za mijini imeniuma sana.