Watanzania hatujui utajiri wetu tuliopewa na Mungu. Kama watanzania wote wangekuwa na uwezo wa kujua haya hakika yake inchi isingekalika mpaka kingeeleweka. wachache wanaojua wanaitafuna nchi huku wakiwaimbia watanzania kuwa nchi yao ni masikini. Huu wimbo lazima ufikie kikomo na wa kuufikisha hapo ni mimi na wewe. IDUMU TANZANIA!