Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

lol! sihami tena nchi na kuuacha uzuri huu. Tatizo hata nusu ya nauli ya kwenda kuona moja ya hizo sehemu sina, we acha tu!
 
[h=3]The View of Mount Kilimanjaro[/h]

[h=3]Welcome To Mikumi National Park[/h]

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

Welcome To Bagamoyo

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

Kimondo Mbozi Mbeya

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

The View of Mount Kilimanjaro

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

Jiwe La aina yake Matema Beach Kyela

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

Nyani wa Rungwe Mbeya

Nyani wa Aina yake ya kipekee wanaopatikana Mirima ya Ringwe Mbeya

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

Visit Lake Manyara

Baadhi ya Watu wakimuona huyu Kenge Husisimka Mwili!

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

VISIT AMBONI CAVES TANGA THE UNIQUE CAVES

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

NGORO NGORO CRATER ONE OF THE WONDERS IN THE WORLD..

[h=3]DO YOU WANT TO SEE MORE THE DOOR IS OPEN FOR YOU[/h]

<tbody>
[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]

</tbody>

[h=3]AGAIN YOU WILL ENJOY AT MKOMAZI NATIONAL PARK[/h]

mkuu asante. tz tuna mbuga nzuri sana na kubwa ila wasiwasi wangu ni kwamba wajukuu wetu hawatazifaidi kama sisi maana zimeingiliwa sana.huko ndiko wakubwa wanaenda kujenga mahoteli ya kifahari na kusababisha ule uasili [nature] kupotea.ebu angalia mfano wa crater ya ngorongoro ambayo ni among the wonders of earth itapoteza hadhi hiyo kwa ajili ya kuingiliwa na watu wenye roho ya ubinafsi. ni ajabu na jk kulazimishia lami kupita serengeti wakati kuna maeneo mengi yanayoitaji lami.kwa nini? inauma sana.
 
Tanzania ni nzuri kama binti kigoli mrembo wa asili......... Lakini nina wasi wasi na baba wa kigoli huyo.... hamtunzi mwanawe inavyotakiwa.....
 
Back
Top Bottom