Kwa kweli mpaka mwili unanisisimka jinsi nchi yetu ilivyobarikiwa. Nahisi hata sisi wananchi si wazalendo kwa nini tunaishi kama tumeitelekeza nchi yetu? kumbe nchi yetu ni nzuri na tajiri kiasi hiki! kwa nini tunaendelea kuiacha nchi hii ifilisiwe na wachache kwa manufaa yao? Jamani tuulinde urithi wetu hata kwa kumwaga damu! tunakaa kimya wachache wanafaudu URITHI wetu!