Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni za wanajeshi wa TPDF kaka
Zipo KDF base mkuu.Ziko wapi?
Hiyo helicopter moja umepiga picha kutoka pande tatu? 😀 😀Zipo zinakidhi mahitaji, sema kingine,
Tatizo lenu wakenya huwa mnadhani mko juu mno mkiiacha mbali Tanzania, msijidanganye kwa Hilo! Alishabaab mshawavulia chupi nchi nzima! They're fvcckng kunyaland Kama vile hakuna majeshi.View attachment 1444796View attachment 1444797View attachment 1444798View attachment 1444799
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya jeshi la Polisi Tanzania Lina helcopter moja pekee! Are you happy now? You've several toys of helcopters abandoned by your masters yet Alshabaab young boys are dancing in Nairobi without even being noticed. Kenya is a nation of braggers!Hiyo helicopter moja umepiga picha kutoka pande tatu? 😀 😀
Polisi lenu halina helicopter. Linatembea kwa miguuZipo KDF base mkuu.
Na bado tena, badala ya kua na centralized National police airwing HQ Nairobi, wanapanga kuweka Airwing stations strategically ndani ya regional HQ's muhimu za nchi, Kwa mfano Mombasa Regional HQ itakua na airwing ya ku serve eneo zima la Pwani, Airwing ya Nakuru ihudumie Rift Valley na Airwing ya Kisumu ihudumia Western Kenya, ya Nairobi itakua inahudumia Nairobi and Metro,na ya Garissa itakua inahudumia North Eastern...Kenya Police Air-wing , based at Wilson Airport
View attachment 1444730
View attachment 1444763
View attachment 1444732
View attachment 1444736
View attachment 1444737
View attachment 1444739
View attachment 1444740
View attachment 1444764
View attachment 1444744
View attachment 1444761
View attachment 1444762
View attachment 1444765
View attachment 1444766
Abandoned helicopter? picha wapi kakaHaya jeshi la Polisi Tanzania Lina helcopter moja pekee! Are you happy now? You've several toys of helcopters abandoned by your masters yet Alshabaab young boys are dancing in Nairobi without even being noticed. Kenya is a nation of braggers!
Sent using Jamii Forums mobile app
wow , noma sana hiyo...Na bado tena, badala ya kua na centralized National police airwing HQ Nairobi, wanapanga kuweka Airwing stations strategically ndani ya regional HQ's muhimu za nchi, Kwa mfano Mombasa Regional HQ itakua na airwing ya ku serve eneo zima la Pwani, Airwing ya Nakuru ihudumie Rift Valley na Airwing ya Kisumu ihudumia Western Kenya, ya Nairobi itakua inahudumia Nairobi and Metro,na ya Garissa itakua inahudumia North Eastern...
![]()
![]()
![]()
![]()
Mara unasema za TPDF umeonyeshwa tena very advanced sasa unaanza kutafuta idadi!!hiyo helicopter moja umepiga picha kutoka pande tatu ? 😀 😀
Za police zipo, na hata Police Airwing ipo, sema hawana helicopter nyingi, na sidhani kama kuna haja ya kuwa nazo nyingi.hizo ni za wanajeshi wa TPDF kaka