Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Mara usema za TPDF umeonyeshwa tena very advance sasa unaanza kutafuta idadi!!
Hajui anachotaka[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara usema za TPDF umeonyeshwa tena very advance sasa unaanza kutafuta idadi!!
Fahamu kuwa zipo kuhusu idadi hiyo n siri yetu .Mfumo wetu ndio umetufanya tupo salamahiyo helicopter moja umepiga picha kutoka pande tatu ? 😀 😀
ii hapa modernization plan yao for the next 5 years, this is what they expect to achieve..wow , noma sana hiyo...
The other force getting equiped soon is the AP
Inaonyesha internal Security yenu ipo mashakani sana au mfumo wenu kiulinzi sio madhubutiNa bado tena, badala ya kua na centralized National police airwing HQ Nairobi, wanapanga kuweka Airwing stations strategically ndani ya regional HQ's muhimu za nchi, Kwa mfano Mombasa Regional HQ itakua na airwing ya ku serve eneo zima la Pwani, Airwing ya Nakuru ihudumie Rift Valley na Airwing ya Kisumu ihudumia Western Kenya, ya Nairobi itakua inahudumia Nairobi and Metro,na ya Garissa itakua inahudumia North Eastern...
![]()
![]()
![]()
![]()
Inaonyesha internal Security yenu ipo mashakani sana au mfumo wenu kiulinzi sio madhubutiNa bado tena, badala ya kua na centralized National police airwing HQ Nairobi, wanapanga kuweka Airwing stations strategically ndani ya regional HQ's muhimu za nchi, Kwa mfano Mombasa Regional HQ itakua na airwing ya ku serve eneo zima la Pwani, Airwing ya Nakuru ihudumie Rift Valley na Airwing ya Kisumu ihudumia Western Kenya, ya Nairobi itakua inahudumia Nairobi and Metro,na ya Garissa itakua inahudumia North Eastern...
![]()
![]()
![]()
![]()
Inaonyesha kivipi?Inaonyesha internal Security yenu ipo mashakani sana au mfumo wenu kiulinzi sio madhubuti
Pia having many assets with no plans for the same is an unnecessary expense
Sasa hivi Polisi Tanzania Wana helicopter mpya nyingine tatu zimenunuliwa toka Ufaransa na Uingereza.Za police zipo, na hata Police Airwing ipo... sema hawana helicopter nyingi, na sidhani kama kuna haja ya kuwa nazo nyingi.
Hata kipindi cha JK kuna helikopta fulani ilipata ajali ikiwa imebeba baadhi ya viongozi... ilikuwa ya polisi ile.
Maji yametoka leo Nairobi?Wow!!! Safi sana
do you readInaonyesha internal Security yenu ipo mashakani sana au mfumo wenu kiulinzi sio madhubuti
Pia having many assets with no plans for the same is an unnecessary expense
ii hapa modernization plan yao for the next 5 years, this is what they expect to achieve..
---------------------------
NPS sets aside Sh5b to hire forensic experts
......
The plan says the service will spend Sh5 billion to increase CCTV coverage in Nairobi and Mombasa and their metropolis.
Ten billion shillings($100m) will be spent on installing cameras in Kisumu, Eldoret and Nakuru and their environs.
Some Sh8 billion ($80m) will be spent on equipping the police forensic lab and Sh50.9 billion ($500m) in acquisition of security equipment.
A police referral hospital will be constructed and equipped at Sh20 billion ($200m), while Sh3 billion will be spent on upgrading the DCI academy.
Some Sh5 billion will be spent on the NPS Border police Training Campus.
The police plan to acquire 6,000 assorted vehicles, 1,500 motorcycles and 20 boats in the period at Sh45 billion($450m).
It will spend Sh500 million in titling its land.
Construction, refurbishing and equipping of police stations, camps, posts, stores and residential buildings is projected to cost Sh18 billion ($180m).
New structures for the Critical Infrastructure police Unit and Border Patrol Unit will take up Sh600 million.
Construction of a model police station in every county will cost Sh7 billion.
The service plans to capacitate its airwing at Sh10.5 billion ($100m) by acquiring new planes and choppers and recruiting new personnel.
Installation of CCTV cameras at all police stations will cost Sh500 million while recruitment of 1,000 new investigators and forensic experts is expected to cost Sh5.5 billion ($5.5.m)
police plan to develop and implement an intelligence model at Sh200 million, while mainstreaming of human rights and gender issues will cost Sh800 million.
According to the plans, restructuring of the NPS into a seamless operational entity with distinct functions for the kenya police, Administration police and Directorate of Criminal Investigations will cost Sh2.6 billion.
...
There are plans to decentralize the operations of police’s Internal Affairs Unit and enhance relation between the service and other stakeholders.
The service plans to recruit 45,605 officers at Sh5 billion in the period while determination of number of specialised technical staff requirement will cost Sh500 million.
----------------
Kama unavyo ona hapo airwing ita tengewa $100m kununua ndege mpya, The price of most helicopters bought by NPS has been between $9m to $15m kwahivyo hapo ni kama helicopter saba mpya within the next 5 years.
Training an all female crew for some of the aircrafts at the NPS airwing
tuna helicopters toka kabla hujazaliwa, ila sie wastaarabu hatuna fujo za kijinga na kinyama kuhitaji police hewani.Kenya Police Air-wing , based at Wilson Airport
View attachment 1444730
View attachment 1444763
View attachment 1444732
View attachment 1444736
View attachment 1444737
View attachment 1444739
View attachment 1444740
View attachment 1444764
View attachment 1444744
View attachment 1444761
View attachment 1444762
View attachment 1444765
View attachment 1444766