Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
BTW si tatu tu! ziko zaidi ya tano zimeanguka!Maelezo mazuri na picha nzuri but ufanisi hakuna
Katika historians ya majeshi ya Polisi Kenya imevunja rekodi ya kupoteza askari 40 katika ambush moja ya qualify.Poor intelligence
Used Chopper 3 mlizonunua kwaajili ya Police air wing Geza kawaonyesha video zake zimeanguka kwa kukosa matengezo na matunzo hafifu kwa rubani
Mngekumbana na Uhalifu kama wa Kibiti au Mapango ya Amboni Tanga mngepata tabu sana
Kinachowaangusha ni kakosa nidhamu ya kazi na poor intelligence