Tanzania Police wana air wing? Tazama Kenya Police Air Wing

Mkuu, ishu ni kila type ya walio nayo Kenya na Tanzania wawe nayo au? Kama ni helicopter tu, polisi ya tz pia inazo!
 
Hiyo helicopter moja umepiga picha kutoka pande tatu? 😀 😀
Haya jeshi la Polisi Tanzania Lina helcopter moja pekee! Are you happy now? You've several toys of helcopters abandoned by your masters yet Alshabaab young boys are dancing in Nairobi without even being noticed. Kenya is a nation of braggers!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado tena, badala ya kua na centralized National police airwing HQ Nairobi, wanapanga kuweka Airwing stations strategically ndani ya regional HQ's muhimu za nchi, Kwa mfano Mombasa Regional HQ itakua na airwing ya ku serve eneo zima la Pwani, Airwing ya Nakuru ihudumie Rift Valley na Airwing ya Kisumu ihudumia Western Kenya, ya Nairobi itakua inahudumia Nairobi and Metro,na ya Garissa itakua inahudumia North Eastern...




 
Abandoned helicopter? picha wapi kaka
 
wow , noma sana hiyo...
The other force getting equiped soon is the AP
 
hizo ni za wanajeshi wa TPDF kaka
Za police zipo, na hata Police Airwing ipo, sema hawana helicopter nyingi, na sidhani kama kuna haja ya kuwa nazo nyingi.

Hata kipindi cha JK kuna helikopta fulani ilipata ajali ikiwa imebeba baadhi ya viongozi, likuwa ya polisi ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…