ππππ lol
Hahaaaa. Kama kweli vile Mtani eti bao tano. Duuh.Tukicheza nao wakijikaza sana basi 5 halafu kwanini nyinyi yanga SIMBA ikipiga soka lake la viwango vya dunia la ushindi mnono basi mawazo yenu yanawaza miamala kwa nini msikubali tu kuwa SIMBA ni ya viwango vya dunia
Kaseja sisi tumemlea, tunamjua vizuri sana. Vyombo husika vishaanza kazi, naishia hapa, nisije nikaharibu ushahidi.Hahaaaa. Mmeshaanza Mtani
Hahaaaaa. Eti kiwango cha Barcelona duuuh.Hahaha.. Kwa kua tunachokifanya sisi, wao hawakiwezi.. Hivyo wanahisi kuna nguvu ya ziada (muamal).
Kwa soka tunalotandaza kwa sasa, Simba SC ni ndugu mmoja na Barcelona.
Hahahaaa. Watani zangu mnajua kujisifia jamaani Khaaaa.Aisee jamaa wameishiwa mpaka beki chochoro wanaiona lulu hahaha wailete hiyo beki ikutane na washambuliaji wanyumbulifu simba nguvu moja
Ahsante Mtani ndio tunazidi kupepea hivyo. πππHahaha.. Poa Mtani, ila hongereni kwa ushindi kiduuuchu.
Wee cheka tu Hajarππππ lol
Hahaha.. Gari lishawaka hili. Baada ya kuwaka, kuna mtu alikula 5, mwingine 3.. Ni nyinyi tu ndo mlituchomoka.Hahaaaaa. Eti kiwango cha Barcelona duuuh.
Ndio mpatage na matokeo sasa Mtani sio mnatandaza mpira lakini mwisho wa siku mnafungwa au kutoka draw.
Hahahaa. Ushahidi gani jamaani.Kaseja sisi tumemlea, tunamjua vizuri sana. Vyombo husika vishaanza kazi, naishia hapa, nisije nikaharibu ushahidi.
Nifanyeje sasa wakati mtu asiye na hela hata ya kukidhi mahitaji ya wachezaji wake leo hii awe na uwezo wa kufanya muamala huoni vinachekesha.Wee cheka tu Hajar
Hahahaaaaa. Subirini tu litakapozimika muanze kutaftana maana hamchelewi watani zangu.Hahaha.. Gari lishawaka hili. Baada ya kuwaka, kuna mtu alikula 5, mwingine 3.. Ni nyinyi tu ndo mlituchomoka.
Acheni kutuzuga bana nyie Hajar mnasema hamna pesa hao kina Makambo mnawalipa nini au Yanga ni timu ya wakwe zao tuseme wanafanya kazi ya ukwe hawawezi kudai kituNifanyeje sasa wakati mtu asiye na hela hata ya kukidhi mahitaji ya wachezaji wake leo hii awe na uwezo wa kufanya muamala huoni vinachekesha.
ππππ
Mkitoboa mikoani kama mnavyofanya dar.. basi hakuna haja ya kutabiri bingwa nani?
Kumbe mazoezini...beki katili kwenye mechi....nasikia mnamchukua ChirwaHahaha.. Nikumegee siri.. Huyo beki katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Rwanda, alikua ni uchochoro kwa MK14. Nimeshuhudia, MK14 akimgeuza anavyotaka.
Mkuu jitahidini mumlete kabla mzunguko wa 2 wa TPL haujaanza.. Kama tatizo ni hela, pitisheni bakuli, nitakua wa kwanza kuchanga.
Nilishangaa sana,maana kama kufungwa kafungwa kmc hlf mikia ndio wakasirike hadi kuvunja mabenchi,ni ajabu sana!hawa mikia inabidi waombewe sana ili akili zao zikae sawaπππππ hatariii
Jan dirisha dogo linafunguliwa mkuuHivi Simba amemaliza mechi za mikoani??? Mpira ni mkakati usije ukashangaa yanga akacheza vizuri huko mikoani na kushinda zote...hivi dirisha dogo la usajili linaanza lini???
Nasikia Sembo kazirai baada ya Fei Toto kufanya take Jana, hadi sasa hajazinduka.Huku kwetu kwenye kibanda umiza baada ya Yanga kupata hili goli washabiki wenzio wa mikia wakang'oa mabenchi yote!
Kwa hiyo mtatoa mlungula kwa Kaseja?Kaseja sisi tumemlea, tunamjua vizuri sana. Vyombo husika vishaanza kazi, naishia hapa, nisije nikaharibu ushahidi.
Hahaha.. Mkuu nipo.Nasikia Sembo kazirai baada ya Fei Toto kufanya take Jana, hadi sasa hajazinduka.
Mkuu milungula si mambo yetu, sisi soka letu ni uwanjani.Kwa hiyo mtatoa mlungula kwa Kaseja?