Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Tukicheza nao wakijikaza sana basi 5 halafu kwanini nyinyi yanga SIMBA ikipiga soka lake la viwango vya dunia la ushindi mnono basi mawazo yenu yanawaza miamala kwa nini msikubali tu kuwa SIMBA ni ya viwango vya dunia
Hahaaaa. Kama kweli vile Mtani eti bao tano. Duuh.

Mmh. Hicho kiwango nitafurahi mkikionyesha na kwenye Klabu bingwa na isiishie kwa timu zilizopanda daraja tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha.. Kwa kua tunachokifanya sisi, wao hawakiwezi.. Hivyo wanahisi kuna nguvu ya ziada (muamal).
Kwa soka tunalotandaza kwa sasa, Simba SC ni ndugu mmoja na Barcelona.
Hahaaaaa. Eti kiwango cha Barcelona duuuh.

Ndio mpatage na matokeo sasa Mtani sio mnatandaza mpira lakini mwisho wa siku mnafungwa au kutoka draw.
 
Hahaaaaa. Eti kiwango cha Barcelona duuuh.

Ndio mpatage na matokeo sasa Mtani sio mnatandaza mpira lakini mwisho wa siku mnafungwa au kutoka draw.
Hahaha.. Gari lishawaka hili. Baada ya kuwaka, kuna mtu alikula 5, mwingine 3.. Ni nyinyi tu ndo mlituchomoka.
 
Kaseja sisi tumemlea, tunamjua vizuri sana. Vyombo husika vishaanza kazi, naishia hapa, nisije nikaharibu ushahidi.
Hahahaa. Ushahidi gani jamaani.

Sema hakujipanga vizuri yeye na ukuta wake bana Mtani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila nimecheka sana asubuhi hii jamaani. Lol.
 
Nifanyeje sasa wakati mtu asiye na hela hata ya kukidhi mahitaji ya wachezaji wake leo hii awe na uwezo wa kufanya muamala huoni vinachekesha.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acheni kutuzuga bana nyie Hajar mnasema hamna pesa hao kina Makambo mnawalipa nini au Yanga ni timu ya wakwe zao tuseme wanafanya kazi ya ukwe hawawezi kudai kitu

Vijisenti vya kubadilishia mboga tunajua mnavyo hao waliokua wanapitisha bakuli walikua wanatuzuga tu ili elax tuwaone mmefulia halafu tu relax mtufunge kiurahisi, lakini Simba ikawashtukia ujue
 
Mkitoboa mikoani kama mnavyofanya dar.. basi hakuna haja ya kutabiri bingwa nani?

Hivi Simba amemaliza mechi za mikoani??? Mpira ni mkakati usije ukashangaa yanga akacheza vizuri huko mikoani na kushinda zote...hivi dirisha dogo la usajili linaanza lini???
 
Hahaha.. Nikumegee siri.. Huyo beki katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Rwanda, alikua ni uchochoro kwa MK14. Nimeshuhudia, MK14 akimgeuza anavyotaka.

Mkuu jitahidini mumlete kabla mzunguko wa 2 wa TPL haujaanza.. Kama tatizo ni hela, pitisheni bakuli, nitakua wa kwanza kuchanga.
Kumbe mazoezini...beki katili kwenye mechi....nasikia mnamchukua Chirwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatariii
Nilishangaa sana,maana kama kufungwa kafungwa kmc hlf mikia ndio wakasirike hadi kuvunja mabenchi,ni ajabu sana!hawa mikia inabidi waombewe sana ili akili zao zikae sawa
 
Back
Top Bottom