Pole mkuu, umezinduka? Hao ndiyo Young Afraca, baba LA Football Tanzania.Hahaha.. Mkuu nipo.
Kama unaamini mpira unadunda basi nenda kaudunde baharini.Wanasema mpira unadunda halafu fundi wao leo hayumo.
Duwa la kuku...Nitafurahi sanaaa
Wametuombea njaa alafu wakafa waoHahahaaa. Nakazia Mdogo wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walijaa kama wote kutuombea njaa. Teh teh.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hahahaaa. Kazinduka asubuhi.Nasikia Sembo kazirai baada ya Fei Toto kufanya take Jana, hadi sasa hajazinduka.
Hahahaaa. Kabisaaaa.Wametuombea njaa alafu wakafa wao
Leo hii yamekuwa haya. Duuhh.Acheni kutuzuga bana nyie Hajar mnasema hamna pesa hao kina Makambo mnawalipa nini au Yanga ni timu ya wakwe zao tuseme wanafanya kazi ya ukwe hawawezi kudai kitu
Vijisenti vya kubadilishia mboga tunajua mnavyo hao waliokua wanapitisha bakuli walikua wanatuzuga tu ili elax tuwaone mmefulia halafu tu relax mtufunge kiurahisi, lakini Simba ikawashtukia ujue