Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Hahahaaa. Nakazia Mdogo wangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walijaa kama wote kutuombea njaa. Teh teh.

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Wametuombea njaa alafu wakafa wao
 
Acheni kutuzuga bana nyie Hajar mnasema hamna pesa hao kina Makambo mnawalipa nini au Yanga ni timu ya wakwe zao tuseme wanafanya kazi ya ukwe hawawezi kudai kitu

Vijisenti vya kubadilishia mboga tunajua mnavyo hao waliokua wanapitisha bakuli walikua wanatuzuga tu ili elax tuwaone mmefulia halafu tu relax mtufunge kiurahisi, lakini Simba ikawashtukia ujue
Leo hii yamekuwa haya. Duuhh.

😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom