Nn87' Yanga wanapata faulo kuelekea lango la KMC
Goo gooooal
Itakua goli hilo
wameshnda au?Hongereni wanayanga ligi bado mbichi
Chura wamepata goli
Za majeruhi..DK ya ngapi mzee
Poa embu ianzee mvua kubwa wawe wanaelea tu hawa nyumbu.Za majeruhi..
Mpira ni dakika 90+ ko mda wa kufunga ulikuwa bado.Wameponea chupu chupu
Hongera zenuMpira ni dakika 90+ ko mda wa kufunga ulikuwa bado.
LoooooooohWameponea chupu chupu
NyooooooozaoooooKuna mapopompo yanamlinganisha Fei Toto na Mkude