Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Sinaga hizo bana Mkuu.Hajar huwa akai mbali na yanga cjui leo kaenda wapi?... Atakuja wakipiga goli
Ingekuwa game ya mchana basi tungeenda sambamba ila hizi za usiku ni ngumu sana maana muda wangu wa kuwa jf unakuwa ushaisha. ππππππ