Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Uwiiii. Mdogo wangu mona wapitwa sana aiseeee.

Au umehamia kwenye NBA nini? [emoji12][emoji12][emoji12]
Hata sijui kwa nini najikuta sina mood na ushabiki wa mpira kabisa.

Zamani nilikuwa mshabiki wa kutukuka sana hasa timu za Ulaya.

Enzi za Drogba, Adebayor, E'too,(naona wakaribia kutundika ndaluga) na manguli kibao wa Ulaya na America nilikiwa nawashabikia sana.
 
Hata sijui kwa nini najikuta sina mopd na ushabiki wa mpira kabisa.

Zamani nilikuwa mshabiki wa kutukuka sana hasa timu za Ulaya.

Enzi za Drogba, Adebayor, E'too,(naona wakaribia kutundika ndaluga) na manguli kibao wa Ulaya na America nilikiwa nawashabikia sana.
Duuh! Mdogi wangu sa sijui nikupe pole au hongera maana ushabiki una raha na saa nyingine una karaha.

Ila ulipoamua kujiweka sio pabaya pia. Yaani huna presha za hovyo hovyo. 😂😂
 
Back
Top Bottom