Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Duuh! Mdogi wangu sa sijui nikupe pole au hongera maana ushabiki una raha na saa nyingine una karaha.

Ila ulipoamua kujiweka sio pabaya pia. Yaani huna presha za hovyo hovyo. [emoji23][emoji23]
Tabu ya nini sasa kama mashabiki wa Arsenal ambao miili yao ina alternate.

Msimu wa ligi wanakonda, msimu ukiisha wananenepa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tabu ya nini sasa kama mashabiki wa Arsenal ambao miili hao ina alternate.

Msimu wa ligi wanakonda, msimu ukiisha wananenepa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaa. Wale ndio kazi wanayo japokuwa mashabiki wengi wamepunguza ushabiki kwa timu yao sababu ya roho zao kuwekwa juu kila wakicheza.
 
Hahaaaa. Wale ndio kazi wanayo japokuwa mashabiki wengi wamepunguza ushabiki kwa timu yao sababu ya roho zao kuwekwa juu kila wakicheza.
Arsenal ilikuwa ya akina Thiery Henry, Adebayor, Bacary Sagna, et al.

Sio ya sasa inayotibu vitambi vya watu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaaa. Sie wamabakuli Muamala tunautoa wapi Sesten.

😂😂😂 mpira tu ule Sesten. 💃💃💃💃
Halafu Hajar kwa timu mlokua nayo kweli mkikutana na watu wanaocheza mpira haswaa tena uwanja wa ugenini mtatoboa kweli?

Najua utaogopa kusema ukweli hapa mbele ya kadamnasi basi hebu ninongo'neze ukweli wako unavoamini katika moyo na nafsi yako

Au unaamini hivohivo hadharani na sirini?😀
 
Timu inayocheza mpira kama ipi Sesten sema tu.

Naamini hivyo pote pote Sesten. 💃💃💃💃💃💃

🎵🎵🎵Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini 🎵🎵🎵 naimba tu Seten.
 
Back
Top Bottom