tanzania premier league matchday 4

tanzania premier league matchday 4

matambo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Posts
727
Reaction score
118
jamani leo ni matchday 4 kwenye ligi yetu ya bongo

fikcha za leo ni

SIMBA SC VS RUVU SHOOTING

YOUNG AFRICANS SC VS MTIBWA SUGAR FC

KAGERA SUGAR FC VS AZAM FC


TUJUZANE MATOKEO
 
Hadi sasa ni dakika ya 31 simba 2 ruvu 1 simba walifunga kupitia mgosi then dakika ya 18 ruvu wakachomoa na dakika ya 19 mgosi akafunga la pili
 
Mechi ya yanga na mtibwa mpaka sasa bado ni bilabila,
 
Mtibwa 1-yanga 0 ni half time sasa

beki mmoja wa yanga amtwanga mtu kichwa bila refarii kufanya lolote, watu washangaa refa kuacha hilo



mwanza ni half time simba 2 ruvu 1
 
Ahsante sana mkuu, endelea kutupa matokeo kadiri yanavyopatikana.
 
Shija mkina anakatwa kwenye box simba wanapata penati dakika ya 52

mgosi anaenda anakosaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
yanga wachomoa kupitia abd kassim

yanga 1 mtibwa 1
 
simba watafungwa tu


hawana lolote yanga CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
ruvu shooting wanapata goli , refa wa kati anasema kati, linesman akasema offside basi refa wa kati akasema sio goli

simba 2 ruvu 1
 
yanga 1 mtibwa sugar 1 full time huko morogoro yanga sasa ina pointi 7
 
Huyo Mgosi sio mpiga penati mzuri. Phiri inabidi awaandae wapiga penati.
 
Mkuu Matambo, vipi matokeo ya mwisho Mwanza? Bila shaka mpira umekwisha, au?
 
mwanza ni full tyme simba 2 ruvu 1

simba yaongoza ligi kwa pointi zao 9
 
Wenye uwezo wameshaanza kuonekana.....vipi kule kagera azam vipi katoka au siyo leo...
 
ruvu shooting wanapata goli , refa wa kati anasema kati, linesman akasema offside basi refa wa kati akasema sio goli

simba 2 ruvu 1
.....halafu mnashangaa mtu akipigwa 5 na Mafarao au 3 na kimeo Gor!!!
 
Back
Top Bottom