Tanzania Premier League: Simba SC 0 - 0 Lipuli FC zatoshana nguvu

Niwe mkweli tu, lipuli wamecheza vizuri mno kipindi hiki cha kwanza na kama wangekuwa makini kidogo pengine wangekuwa wanaongoza kwa goli mbili bila mpaka half time.
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Taifa

Simba SC 0-0 Lipuli FC
 
58' Simba wanashambulia..Lakini Sonso anaokoa hatari ile...!
 
62' Lufunga anaingia...Job anakwenda kwenye benchi Lipuli FC
 
Alitoka Dilunga akaingia Rashid Juma upande wa Simba SC.

70' Simba 0-0 Lipuli FC
 
72' Gooo laaaaaaaa Bocco anakosa bao la wazi..ilikuwa nafasi nzuri kuamua ushindi kwa leo
 
74' Haruna Niyonzima anaingia kuchukua nafasi ya Kichuya upande wa Simba
 
Mashabiki wa simb bwana!! Utawapenda aisee, kama mashabiki wa chama fulani cha siasa hapa nchini. Inakuwaje wanacheza na Lipuli halafu wamebeba kinyago chenye rangi ya Yanga. Ndomaana wanajitia mkosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…