Tanzania Premier League: Simba SC 0 - 0 Lipuli FC zatoshana nguvu

Tanzania Premier League: Simba SC 0 - 0 Lipuli FC zatoshana nguvu

Mnatangulia tu kwa baiskeli ya miti, Simba ndiye bingwa mwaka huu.
 
Mikia FC anategemea sana team Karume. Ndo silaha na anajitangaza mapema anajua kuna mbeleko sehemu.
 
Balaa gani hii, mboni hawa Yanga yangu wanapata magoli mepesi tu.
Sisi tunafunga kibendela analigomea goli.
Yanga wanakubaliwa hata goli la offside.
Ndo imeamuliwa timu ya nyerere ishinde ?
Sasa hao memolodi itakuwaje kama timechemka kwa ka Lipuli ya shamba.
Boko anaonekana kabisa kufulia toka dakika ya kwanza, kocha anamuwacha tu.
Leo tumefungwa na John Bocco.
Bora Salamba kuliko Bocco.
Bocco ni butu kwa sasa
Habari za asb.......
 
Back
Top Bottom