Kwa leo2 au skuzote??Bocco ni kumvua na u captain jamaa ni zigo la mavi
Nipe matokeo mkuuhii timu makinikia vipi tena Leo??
Huyu ndio juzi mlimtukana Amunike Kwa nini hajampanga game ya LesothoNingekuwa ndani Boko angeshachezea kichapo **** huyu
Mbona addition ni Dk nyng HV, au wanawatafutia bao Mikia..!!!!90+5'
Wizi mtakatifuuSimba wamefunga la wizi haaaaaa,kagere mwizi
95' bado,
Kwani refa hajipendi?Mbona addition ni Dk nyng HV, au wanawatafutia bao Mikia..!!!!
Nadhani umekosea badala la wizi ilikuwa uandike uwazi na badala ya mwizi ilikwa uandike muwazi.Simba wamefunga la wizi haaaaaa,kagere mwizi
Mkuu, kwahyo Sumba anaongoza au bado ni bila bila...?95' bado,