Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Salaam aleykum MkuuKama kawaida mnyama ananyonya damu mtu bila huruma. Karata ya leo inaonesha tunamzima lipuli kwa bao 4 bila kitu cha 4G
Uchokozi huo sasaSalaam aleykum Mkuu
mkuu huyo sembo leo si tu simu yake haikamati network vizuri yana utakuta hadi kichwani network haisomi leo dadekiiSembo atakuwa sehemu haina network.
Watanzania tunaenzi utamaduni wetu wa kusalimiana na kufarijiana. [emoji23][emoji23][emoji23]Uchokozi huo sasa
Kesho Atatoka na screen.Naona Mikia Fc mnataka kuliamsha dude la kudai point tatu za Fifa!😂😂😂😂😂
Wapi Shafii Dauda?.....wapi Haji Manara?😂😂😂😂
Hahahhahaaa ndio za Mikia Fc kwa sasa!🤣🤣🤣🤣Kesho Atatoka na screen.
Hakukosea kabisa, Boko hajafunga mechi nyingi sana. Bora ambokileKwa hiyo Amunike hakukosea kumpiga bench?
Inawezekana kabisa, yaani anapiga mpira yeye na goli halaf anafumba macho, na kumpasia kipa, si mara moja wala mbili.BOCCO ANA MGOMO NASIKIA HAJAMALIZIWA HELA ZA. USAJILI...!!
Goooo laaaaa Offside MK 14 aliandika bao lakini Refa anasema alikuwa ameotea
Boko sasa sio main striker wa Mikia. Lazima apoteze confidence kwenye club na national team.Hakukosea kabisa, Boko hajafunga mechi nyingi sana. Bora ambokile
Mimi nafurahi mleta Uzi, anatuhabarisha mubashara, ila mechi ya Leo Chenga nyingi sana siyo kama Jana alikuwa very clear bila chenga matukio yoote mubashara. Ila Leo kigugumizi kwa Saaaana.Bora aanze Salamba.
Kuliko.
Majanga haya