Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
KitandaniUnaenda wapi?
Mnatangulia tu kwa baiskeli ya miti, Simba ndiye bingwa mwaka huu.
Habari za asb.......Balaa gani hii, mboni hawa Yanga yangu wanapata magoli mepesi tu.
Sisi tunafunga kibendela analigomea goli.
Yanga wanakubaliwa hata goli la offside.
Ndo imeamuliwa timu ya nyerere ishinde ?
Sasa hao memolodi itakuwaje kama timechemka kwa ka Lipuli ya shamba.
Boko anaonekana kabisa kufulia toka dakika ya kwanza, kocha anamuwacha tu.
Leo tumefungwa na John Bocco.
Bora Salamba kuliko Bocco.
Bocco ni butu kwa sasa
Lipuli tu mmemshidwa mtawaweza Yanga hahahaaaaaKwani sisi na wao lini? Mbona siku hazifiki. Tunataka kuona ile chupuchupu ulikuwa uganga ama soka[emoji23][emoji3][emoji23]