Tanzania Premier League 'TPL' Biashara United dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Karume Musoma

Simba Kafikisha Mechi 27 na Pointi zake 69 dhidi ya Mechi 32 za Yanga na Pointi zake 74. Mnyama bado Viporo vitano anaelekea zake Mbeya kesho Alfajiri kwa mechi 2.
Hapana,tunarudi Town kumrambisha dawa Ruvu JKT kabla ya Mbeya
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wasije wakaanza kulalamikia mabao ya vichwa..John Bocco si kwa kichwa kile..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…