Tanzania Premier League 'TPL' Biashara United dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Karume Musoma

Tanzania Premier League 'TPL' Biashara United dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Karume Musoma

Biashara FC ya Jangwani muhimu kwenu ni kuji imarisha kwa kuunda timu yenye ushindani..! Club's Champions league wote imetupa somo zuri sana mwaka huu. Hakuna njia ya mkato, unda timu bora then ingia kupambana. Maneno maneno hayasaidii ila yanatuchelewesha. Simba ni Timu Bora ya msimu
Kabisa
 
Natamani sana Mzamiru awe mbadala wa Mkude kwa mechi zote zilizosalia. Mkude akiwepo uwanjani hana hamasa kabisaaaa na pasi zake hazina madhara kwa adui. Lkn mechi zote za Mzamiru pasi zake ndizo magoli yenyewe daily. Mkude abadilike asituleteee Ufazza kama analeta upuuzi amfuate Ajibu wakale Viazi vikavu na maji baridi.
Viva Mnyama Unyamani.
Yan wewe umenena...Mimi siku hizi sioni kama mkude ana kiwango tena,na kila akicheza kiungo huwa kinapotena kabisa
 
Waamuzi waondolewe..Haiwezekani Bocco afunge mabao yote peke yake..[emoji23][emoji23]

Vyura mnakwama wapi...!

Mafukara FC tunatazama magoli ya Boko kuona kama tunaweza kulalamika.

Ewaaaaa Boko amepiga shuti kwa shoto,na yeye anatumia lia. Hii imekaaje vyura wenzangu? Shadeeya
 
Msimu mbovu kuliko yote toka TPL ianzishwe. . Sio kila mtu anaweza kuongoza mpira .. . Huyu Msomali akale zake gomba
 
Msimu mbovu kuliko yote toka TPL ianzishwe. . Sio kila mtu anaweza kuongoza mpira .. . Huyu Msomali akale zake gomba
Acha chuki za Kipumbavu wewe churra. Msimu mzuri ni ule ambao kila mechi Yanga alipewa Penati na timu Pinzani walilimwa Red Card. Anyway Malinzi ananyea ndoo kwa ufedhuri wake kesho Jumapili mpelekee Sabuni Ukonga.Usipaniki Tambua Kuwa Kutesa Kwa Zamu wewe umetesa vya kutosha kulicho bakia waachie wenzio wamalizie

UBINGWA WA YANGA MSIMU WA MWAKA 2016/17 KADI NYEKUNDU TISA KWA WAPINZANI WA YANGA NA PENALTY TISA KWA YANGA

SIMBA Vs YANGA KADI NYEKUNDU #JUUKO MECHI YA PILI KADI NYEKUNDU KWA #ABDI BANDA 🇲🇦

YANGA Vs MWADUI KADI NYEKUDU🇲🇦

YANGA Vs MBEYA CITY KADI NYEKUNDU🇲🇦

YANGA Vs COASTAL UNION KADI NYUKUNDU 🇲🇦

YANGA Vs KAGERA SUGAR FC KADI NYEKUNDU 🇲🇦

YANGA Vs TANZANIA PRISON KADI NYEKUNDU 🇲🇦

YANGA Vs MTIBWA SUGAR FC KADI NYEKUNDU 🇲🇦

YANGA Vs SINGIDA FC KADI NYEKUNDU 🇲🇦

YANGA Vs MAJI MAJI YA SONGEA KADI NYEKUNDU 🇲🇦
 
Hamkuzoea shida..mlizoea kubebwa na Malinzi [emoji23][emoji23][emoji23]

Alaa kumbe
 
Back
Top Bottom