Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Aisee tabu iko pale paleYeye anapitia kimya kimya..Huku akililia hatima yake 29 dhidi ya Azam FC [emoji23]
View attachment 1082613
Tuko matakoni mwa chura,naona anajishikashika kama yuko salama
@Shadeeya pitia hapa uone msimamo usije kusema hukuambiwa. [emoji2][emoji2]View attachment 1082613
Tuko matakoni mwa chura,naona anajishikashika kama yuko salama
KabisaBiashara FC ya Jangwani muhimu kwenu ni kuji imarisha kwa kuunda timu yenye ushindani..! Club's Champions league wote imetupa somo zuri sana mwaka huu. Hakuna njia ya mkato, unda timu bora then ingia kupambana. Maneno maneno hayasaidii ila yanatuchelewesha. Simba ni Timu Bora ya msimu
Mkuuu tutawakabili JKT TANZANIA ambao awali walimpeleka Mnyama Mkwakwani wakidhani wataepuka kichapo chini ya Kocha wao mnazi wa Jangwani Bakari Shime.Hapana,tunarudi Town kumrambisha dawa Ruvu JKT kabla ya Mbeya
Tano. Tukilinganisha mechi tutawazidi 10 pointsBado mechi ngapi tuwe mechi sawa na Vyura?
Fanya 13 na points za Azam,Yanga atambwelaTano. Tukilinganisha mechi tutawazidi 10 points
Fanya 13 na points za Azam,Yanga atambwela
Yan wewe umenena...Mimi siku hizi sioni kama mkude ana kiwango tena,na kila akicheza kiungo huwa kinapotena kabisaNatamani sana Mzamiru awe mbadala wa Mkude kwa mechi zote zilizosalia. Mkude akiwepo uwanjani hana hamasa kabisaaaa na pasi zake hazina madhara kwa adui. Lkn mechi zote za Mzamiru pasi zake ndizo magoli yenyewe daily. Mkude abadilike asituleteee Ufazza kama analeta upuuzi amfuate Ajibu wakale Viazi vikavu na maji baridi.
Viva Mnyama Unyamani.
Acha chuki za Kipumbavu wewe churra. Msimu mzuri ni ule ambao kila mechi Yanga alipewa Penati na timu Pinzani walilimwa Red Card. Anyway Malinzi ananyea ndoo kwa ufedhuri wake kesho Jumapili mpelekee Sabuni Ukonga.Usipaniki Tambua Kuwa Kutesa Kwa Zamu wewe umetesa vya kutosha kulicho bakia waachie wenzio wamalizieMsimu mbovu kuliko yote toka TPL ianzishwe. . Sio kila mtu anaweza kuongoza mpira .. . Huyu Msomali akale zake gomba
Acha chuki za Kipumbavu wewe churra. Msimu mzuri ni ule ambao kila mechi Yanga alipewa Penati na timu Pinzani walilimwa Red Card. Anyway Malinzi ananyea ndoo kwa ufedhuri wake kesho Jumapili mpelekee Sabuni Ukonga.Usipaniki Tambua Kuwa Kutesa Kwa Zamu wewe umetesa vya kutosha kulicho bakia waachie wenzio wamalizie
UBINGWA WA YANGA MSIMU WA MWAKA 2016/17 KADI NYEKUNDU TISA KWA WAPINZANI WA YANGA NA PENALTY TISA KWA YANGA
SIMBA Vs YANGA KADI NYEKUNDU #JUUKO MECHI YA PILI KADI NYEKUNDU KWA #ABDI BANDA π²π¦
YANGA Vs MWADUI KADI NYEKUDUπ²π¦
YANGA Vs MBEYA CITY KADI NYEKUNDUπ²π¦
YANGA Vs COASTAL UNION KADI NYUKUNDU π²π¦
YANGA Vs KAGERA SUGAR FC KADI NYEKUNDU π²π¦
YANGA Vs TANZANIA PRISON KADI NYEKUNDU π²π¦
YANGA Vs MTIBWA SUGAR FC KADI NYEKUNDU π²π¦
YANGA Vs SINGIDA FC KADI NYEKUNDU π²π¦
YANGA Vs MAJI MAJI YA SONGEA KADI NYEKUNDU π²π¦