Tanzania Premier League 'TPL' Biashara United dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Karume Musoma

JONAS MKUDE KADI NYEKUNDU BAADAE TFF WAKAIFUTA.
GOLI HALALI LA AJIBU LIKAKATALIWA
GOLI LA MKONO LA TAMBWE LIKAKUBALIWA
bado hatujawafikia Kwa kubebwa kule.
 
Umemkomesha huyu Chura fc, akaseme na kwa Chura wenzake, walizoea mbeleko ya Malinzi.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ haya shindeni Mukae pale juu Mtani.
Haha mtaniii huo mbona ni wajibu wetu kuhakikisha tunakaa pale juu.
Ila ulipotelea wapi mtani maana hapa ni kama umefukua kaburi, toka jumamosi πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Haha mtaniii huo mbona ni wajibu wetu kuhakikisha tunakaa pale juu.
Ila ulipotelea wapi mtani maana hapa ni kama umefukua kaburi, toka jumamosi πŸ˜‰πŸ˜‰
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mambo yalibana Mtani. Leo ndio nimeibuka nikakuta mlinitag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…