Tanzania Premier League 'TPL' : Mabingwa watetezi Simba waichapa Prisons kwa goli 1 - 0 katika uwanja wa Sokoine Mbeya

Ametoka Okwiiiii ameingia Mkude upande wa Simba SC.

Tanzania Prisons 0-1 Simba SC
 
80' bado dakika kumi kumalizika kwa mpambano huu wa TPL

Anatoka Niyonzima ameingia Dilunga
 
Bila shaka zitakuwa ni dakika za nyongeza
 
90+3 Wakati wowote mpira utamalizika

Naaaaaaaam mpira umekwisha Uwanja wa Sokoine, ambapo Simba wanaibuka na ushindi wa bao moja bila majibu, likiwekwa kimiani na Emmanuel Okwii

Tanzania Prisons 0-1 Simba SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…