Tanzania Premier League 'TPL' : Mabingwa watetezi Simba waichapa Prisons kwa goli 1 - 0 katika uwanja wa Sokoine Mbeya

Tanzania Premier League 'TPL' : Mabingwa watetezi Simba waichapa Prisons kwa goli 1 - 0 katika uwanja wa Sokoine Mbeya

Tunaenda kukata rufaa haiwezekani siku ya leo inajulikana wazi kuwa ni siku yetu wanaYanga ya kufanya uchaguzi sasa inakuaje jitimu jingine liko mbeya huko linacheza mchezo wa ligi kuu tena mbaya zaidi limepata ushindi yani hii siyo haki kabisa TFF mko wapi, bodi ya ligi mko wapi inauma sana.

Alisikika mlevi mmoja akisema

Simba nguvu moja

Simba bingwa
 
Shadeeya
57232286_2343345289282652_7526180967849918464_n.jpeg
 
Tunaenda kukata rufaa haiwezekani siku ya leo inajulikana wazi kuwa ni siku yetu wanaYanga ya kufanya uchaguzi sasa inakuaje jitimu jingine liko mbeya huko linacheza mchezo wa ligi kuu tena mbaya zaidi limepata ushindi yani hii siyo haki kabisa TFF mko wapi, bodi ya ligi mko wapi inauma sana.

Alisikika mlevi mmoja akisema

Simba nguvu moja

Simba bingwa
Huyu mlevi kama sio Hazard atakuwa Laki Si Pesa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196][emoji38][emoji38][emoji38]
Simba nguvu moja
Simba bingwa Shadeeya
Duuh! Sawa Mtani.
 
Hivi kumbe wababe wenu Kagera Sugar wanawasubiri tena😂😂😂😂jiandaeni kisaikolojia tena kuacha point hapo......
 
Huku kwetu Yanga baada ya kuona gap LA point limebaki 2 na jumatano tunawapita wamekubali yaishe wanasema eti wanajipanga kwa ajili ya mwakani,vipi huko kwenu bado wabishi???
 
Huku kwetu Yanga baada ya kuona gap LA point limebaki 2 na jumatano tunawapita wamekubali yaishe wanasema eti wanajipanga kwa ajili ya mwakani,vipi huko kwenu bado wabishi???
Waambie hata mwakani bingwa ni Simba SC, wajipange 2025
 
Back
Top Bottom