Mkuu tunapiga na coast sio mtibwaSimba SC Vs Mtibwa Sugar Uwanja Uhuru ama Taifa
Eeeeh uwe unajok kimya kimya. Hatuna masiala kwenye kukisanya point muhimuI was joking mkuu...
Ok kumbe ni zamu ya kupasha kiporo huku tukinywa na juice ya miwaSimba SC Vs Mtibwa Sugar Uwanja Uhuru ama Taifa
Coast or mtibwa?Tunarudi Dar j5 kumchapa coast union
Umenitolea macho balaa mkuuEeeeh uwe unajok kimya kimya. Hatuna masiala kwenye kukisanya point muhimu
Coast or mtibwa?
hivi okwi ana magolimangapi hadi sass?90+3 Wakati wowote mpira utamalizika
Naaaaaaaam mpira umekwisha Uwanja wa Sokoine, ambapo Simba wanaibuka na ushindi wa bao moja bila majibu, likiwekwa kimiani na Emmanuel Okwii
Tanzania Prisons 0-1 Simba SC