Tanzania Premier League 'TPL' Mwadui FC Vs Yanga SC, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga

Tanzania Premier League 'TPL' Mwadui FC Vs Yanga SC, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga

Ndo maana nashangaa ilhali wala si mechi moja kuleta Updates kwa Yanga

KMC na Yanga Oktoba 25, 2018 Nilileta, kwahivyo iwe Simba au Yanga nitaleta kulingana na nafasi na yeyote anaweza kuleta mkuu.

Ndo maana hata mwisho nasema timu ya JF tumeleta huu mchezo, (ushirikiano) hii ni burudani tu
Usije ukashindwa kuleta siku nyingine hii ni burudani huenda nae anaburidika kwa kusema hivyo, bila wewe wengine tusingepata patokeo ya leo.
 
Back
Top Bottom