Mkuu profile yako inaonesha uko online na mpira ni mapumziko inamaana notification za huu uzi huzipati?Kila la kheri Ruvu Shooting!
Manji alikataa kumdhamini masai alijua muda wowote anaweza akamuachia shukaLakini Manji alipojiuzulu Munamg'ang'ania arudi kwenye Madaraka sasa lengo lenu Nini kwake?
Hawa jamaa sidhani kama watarudi kipindi cha pili.45'+2'
Wakati wowote mpira utakuwa mapumziko
Naaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wakiongoza kwa bao mbili kupitia Okwi na Kagere
Ruvu Shooting 0-2 Simba SC
Acha zako eti muinunue simba wakati nauli yakwenda mikoani hamna mmeomba tff wawape mechi za nyumbani mjikusanyie angalau nauli kidogoNimefurahi umesema timu ya Wananchi. Hiyo nyingine ni mali ya mtu na anaweza kuiuza na wana Yanga tukainunua.
Siku chache Mo alipotea mlikuwa taabani. Yanga haitegemei hisani ya mtu, wananchi wanaendesha wenyewe
Ila messi nae bana kwenye iki kikosi eti anatumia namba 11 badala ya 10
Daah nao barca kwa kuiga naona wameiga kipigo chetu tulicho wapa alliance juziUpdate; 89' La Liga...Barcelona 5-1 Real Madrid
Hawa jamaa wabishi kweli.. Wameingiza timu uwanjani.. Shauri yao.Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Taifa
Hakuna mabadiliko
Naomba mungu taarifa hii iwe ya kweliOkwiiiiiiiiiiiiiiiii Simba 3
Masau Bwire asikimbieHawa jamaa wabishi kweli.. Wameingiza timu uwanjani.. Shauri yao.
Hujawah koseaaaaa oyoooooo hahahaaa53' Gooooooooaaal goooooaaal..Emmanuel Okwi anaandika bao la tatu kwa kichwa kufuatia pasi ya Kapombeeee
Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
53' Gooooooooaaal goooooaaal..Emmanuel Okwi anaandika bao la tatu kwa kichwa kufuatia pasi ya Kapombeeee
Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
Hahaha.. Tunaendelea kuhesabu.. La 3 hilo.Okwiiiiiiiiiiiiiiiii Simba 3