Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Nimefurahi umesema timu ya Wananchi. Hiyo nyingine ni mali ya mtu na anaweza kuiuza na wana Yanga tukainunua.

Siku chache Mo alipotea mlikuwa taabani. Yanga haitegemei hisani ya mtu, wananchi wanaendesha wenyewe
Acha zako eti muinunue simba wakati nauli yakwenda mikoani hamna mmeomba tff wawape mechi za nyumbani mjikusanyie angalau nauli kidogo
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Taifa

Hakuna mabadiliko
 
46' Bocco anakwenda aaaaaa..Kagere goooo laaaaa..Shuti la MK14 linapaa juu ya lango

Nafasi ya wazi anakosa..Namna gani MK 14
 
ukiacha makosa madogo madogo ya safu ya ulinzi ruvu wako vizuri sana
 
Back
Top Bottom