Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Hivi unaelewa kua huu uzi mwanzo ulikua unawachangiaji wengi na unajua wameenda wapi?
Hahaha.. Mkuu jamaa wapo, ila wanafuatilia kimya kimya.
Na kuthibitisha hili kuna Shabiki wa Ndala kalike na kunlike fasts post yangu niliyopost mda si mrefu.
 
Hahaha.. Mkuu jamaa wapo, ila wanafuatilia kimya kimya.
Na kuthibitisha hili kuna Shabiki wa Ndala kalike na kunlike fasts post yangu niliyopost mda si mrefu.
Hahahaa kimoyo moyo watakua wanasema daah kumbe sisi tulikua tuna bahati kutoa sale na simba cheki wenzetu yanayo wakuta
 
Vyura msirudie kumfananisha okwi na hao akina makambo tumeelewana
Mkuu.. Japo mpaka sasa vyura wote wamejificha bwawani.. Wakichomoza nchi kavu baada ya dk 90, watakutana na huu ujumbe, na naamini watakuelewa.
 
71' Ruvu wanakosa bao la wazi..baada ya mpira kuokolewa na Aishi Manula
Hapo manula tumemueka kama kiegesho tu maana upinzani hawana uwezo wakufikisha mpira golini yani ilikua asicheze ila kwasabu ni sheria kipa lazima acheze basi tumemueka ilimladi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…