sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hahaha.. Huyu jamaa kazoea kumpapasa Masau Bwire.. Msimu uliopita aliwapiga hat-trick.. Msimu huu tena... Ebwana eeeh.. Huyu Okwi kashindikana.77' Gooooooooooaaal..Ni yule yule Emmanuel Okwiiiiiii anapiga bao la tatu na kuhesabu Hat-Trick
Pasi safi ya Square ya Kapombee
Ruvu Shooting 0-4 Simba SC