Kupapaswa si mchezo Mkuu.Atakua anaumwa jino mbona ameshika shavu
Hahaha yani vyura hawaamini kama walinusurikaMkuu.. Japo mpaka sasa vyura wote wamejificha bwawani.. Wakichomoza nchi kavu baada ya dk 90, watakutana na huu ujumbe, na naamini watakuelewa.
Hahaha naisi atakua anajiuliza hivi kama kweli messi ni majeruhi sasa huyu alietufunga mbili katokea wapi?Anahesabu wachezaji wa simba anahisi kama wako 12
Thamani ya okwi ni zaidi ya kosi zima la vyuraVyura msirudie kumfananisha okwi na hao akina makambo tumeelewana
Kwa sasa Manula hana wa mfano wake nchini. Tukiwa kama Taifa tunatakiwa kujivunia Aishi Manula kua mtanzania.71' Ruvu wanakosa bao la wazi..baada ya mpira kuokolewa na Aishi Manula
Hahaha anahis anacheza na BarcelonaHahaha naisi atakua anajiuliza hivi kama kweli messi ni majeruhi sasa huyu alietufunga mbili katokea wapi?
Nini teeena76' Boccoooo laaaaa. John Bocco anakosa bao la wazi hapa..ilikuwa hatari
Hahahaha mess anaondoka na mpila hahahahahahahahaGooooooooooooooooool
Okwiiiiiiiiiiiiiiiiii Simba 4
Gooooooooooooooooool
HahahahahaLa nne wakuu
Hahahahahah messi kaamua kuchukua mpira wenyeweLa nne wakuu
Niliskia tetesi kwamba morrinyo anamtaka manula ila uongozi wa simba ukakataa kumuuzaKwa sasa Manula hana wa mfano wake nchini. Tukiwa kama Taifa tunatakiwa kujivunia Aishi Manula kua mtanzania.
Huyu okwi huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aninifanya natabasam tu77' Gooooooooooaaal..Ni yule yule Emmanuel Okwiiiiiii anapiga bao la tatu na kuhesabu Hat-Trick
Pasi safi ya Square ya Kapombee
Ruvu Shooting 0-4 Simba SC
Tangu awafanye vibaya Lesotho okwi amekuwa mtamuHahahaha mess anaondoka na mpila hahahahahahahaha
Aiseee simba ni mafundi hatareeHahaha anahis anacheza na Barcelona