Hahaha.. Huyu jamaa kazoea kumpapasa Masau Bwire.. Msimu uliopita aliwapiga hat-trick.. Msimu huu tena... Ebwana eeeh.. Huyu Okwi kashindikana.77' Gooooooooooaaal..Ni yule yule Emmanuel Okwiiiiiii anapiga bao la tatu na kuhesabu Hat-Trick
Pasi safi ya Square ya Kapombee
Ruvu Shooting 0-4 Simba SC
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hahahaha mess anaondoka na mpila hahahahahahahaha
Kwa sasa Manula hana wa mfano wake nchini. Tukiwa kama Taifa tunatakiwa kujivunia Aishi Manula kua mtanzania.
Hahaha.. Mkuu jamaa wapo.. We utaona tu mpira ukiisha.Kwa mbali naona vyura wame block notification za uzii huu[emoji23][emoji23]
Hahahahahah! Inawauma?Kwa mbali naona vyura wame block notification za uzii huu[emoji23][emoji23]
Masaubwire anatafuta pakutokea jamaniHahaha.. Huyu jamaa kazoea kumpapasa Masau Bwire.. Msimu uliopita aliwapiga hat-trick.. Msimu huu tena... Ebwana eeeh.. Huyu Okwi kashindikana.
Kakolanya bado sana kwa Manula.Mkuu inamaana hata Kakolanya anasubiri kwa Manula?
Mkuu tunazungumzia mpira wa miguu usitutajie majina ya wacheza rede sisi hua hatufatilii michezo hiyoMkuu inamaana hata Kakolanya anasubiri kwa Manula?
Kazi tuliyomtuma Okwi kaifanya vyema sana.84' Adam Salamba anachukua nafasi ya Okwiiiiiii
Mkuu tunazungumzia mpira wa miguu usitutajie majina ya wacheza rede sisi hua hatufatilii michezo hiyo
Sidhani kama watakuja na kama wakija basi watakuja na hiiHahaha.. Mkuu jamaa wapo.. We utaona tu mpira ukiisha.