Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Come on Reds... Simba Taifa Kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. Sasa Mkuu kwanini jamaa anajitoa akili hivyo??Hahahahahaha Sembo Ndugu yangu upo???? Huyo Masalu Bwire ni mwenzio...ni 'mnyama' huyo...
Hii kauli naikumbuka Mtani ni kama ile uliyoitoa kabla ya mechi na Mbao ila mwisho wa siku ikawa kinyume kabisa.Jambo la msingi ni kuomba tu jamaa waweze kurejea uwanjani hicho kipindi cha pili.. Maana kuna hatihati baada ya dk. 45, Ruvu wakagoma kabisa kuingia uwanjani.
Hahaha.. Sasa Mkuu kwanini jamaa anajitoa akili hivyo??
Nakuona Chalii angu. Uko siti za mbele kabisa. 😂😂Come on Reds... Simba Taifa Kubwa
Eti mtani leo unataka tuwafunge Ruvu goli ngapi? Sema tu usione aibu [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio utuambie ni kwa nini sasa Mtani?
Hahaha.. Huu 'undugu' sisi hatuutambui, ndo mana mpaka tunakumbushwa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio utuambie ni kwa nini sasa Mtani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unajitoa fahamu..Shooting inashinda, baada ya muda unagundua kuwa kumbe ni ndoto tu kushinda haiwezekani..Unakasirika Unakufa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaa. LolEti mtani leo unataka tuwafunge Ruvu goli ngapi? Sema tu usione aibu [emoji4]
Hahahahaaa. Unaogopa kuusema ukweli eeee.Hahaha.. Huu 'undugu' sisi hatuutambui, ndo mana mpaka tunakumbushwa.
Yote kwa yote, Masau asidhani kauli aliyoitoa Mkuu 1954 itapunguza adhabu yake. Kipigo kipo pale pale, baada ya mechi ndo tutazungumza, mwenzetu ni wa wapi.
Achana na huyu Mtani wangu sembo yaani nahisi mechi ikiwa kesho basi ye leo kutwa nzima ana google tu vya kuja kuvileta huku.Nilikuwa bado sijawahi kumuona mtani wako sembo hapa, naona anatema makinikia tu kuhusu mnyama[emoji3][emoji3][emoji3]
Daaah. Hatimaye leo na weye Mtani umeibuka ama kweli hii mechi mchekea. TehHii Mechi imeshaisha manake Ruvu leo anararuliwa Mapema sana..
Simba hafungwi na Wagombea Ugali Hata Siku moja.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Achana na huyu Mtani wangu sembo yaani nahisi mechi ikiwa kesho basi ye leo kutwa nzima ana google tu vya kuja kuvileta huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba ikifungwa anapakimbiaga hapa yaani hata um-mention vp hatokei wala kukupa likes akifuatiwa na Ghazwat. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] daah yani kwa soka lote lile analopiga SIMBA ambalo vyura wanatamani wawe nalo halafu matokeo yawe kama hivyo ulivyosema [emoji115] umeninyong'onyeza sanaHahaaaa. Lol
Mkijitahidi sana basi viwili nje ya hapo suluhu tu inawatosha. Teh teh teh
Umeonaeeee. Yaani mtu anakuwa guest kwa muda mpaka jukwaani papoe. 😂😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aibu sio jambo jema kabisa