Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kwa Kikosi Hichi cha Simba Hata Barcelona angeogopa kuingiza timu uwanjani kumkabili Mnyama!!
Nadhani Hata Hajar anajua hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha we jamaa labda sema MadridKwa Kikosi Hichi cha Simba Hata Barcelona angeogopa kuingiza timu uwanjani kumkabili Mnyama!!
Nadhani Hata Hajar anajua hili.
ningekuwa masau bwire ningewashauri ruvu wasiingie uwanjani ili simba wapewe pointi tatu na magoli matatu kuliko kuingiza timu wakafungwa goli za aibu
Hili nimewaonya tangu mda sana, hawakunisikia.. Sasa tusilaumiane.ningekuwa masau bwire ningewashauri ruvu wasiingie uwanjani ili simba wapewe pointi tatu na magoli matatu kuliko kuingiza timu wakafungwa goli za aibu
Hahaha.. Hii ni salamu.. Goli nyingi zinakuja.mpapaso umeanza
Ukisikia Masao Bwire anaongea sana ujue muamala ushafanyika anafurahisha baraza tu07' Goooooooaaaaal gooooooaaal
Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Kapombe
Ruvu Shooting 0-1 Simba SC