OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tazama soka wewe utakufaWanasayansi wenyewe ndo akina Haji Manara
Huyu jamaa nae atakuja sababisha maafa kama Chama.Mk 14 anapiga Shuti Kali iiiiii....golikipa anaokoa
Mtani haupo serious yaàni niache kuangalia el classico niwàangalie hao mikiàa hahahaMkuu.. Unafuatilia lakini burudani?
Mkuu naona ungaalia timu yako inavýokupa preshaTazama soka wewe utakufa
Wanasayansi nguli toka vyuo bora kabisa duniani, katika utafiti wao waliokua wakiufanya nchini wamegundua..
"Tanzania kwa sasa, siku ichezapo Simba SC ndo siku ambazo Watanzania wengi huwa wenye furaha na raha isiyo na mfano."
Hofu yangu ni afya za hawa watani zangu Sibonike Hajar kyata guasa Turnkey Amboni Belo Prince Kunta Beira Boy hazard cfc logframe magnifico Super Don Mgagaa na Upwa libeva n.k ambao wataendelea kua watu wasio na furaha kwa miaka mingi ijayo.
Hawa Ruvu wanautani kweli.. Yaani ndo wametuletea hawa wapambane na kina Chama, Okwi, Bocco, Wawa, Kapombe n.k??
Kwa kikosi hiki tulipanga Simba B nao leo wapashe pashe Taifa, ila kwa kua wameleta dharau.. Tunawashushia Full Mziki.View attachment 913901
Hivi unajua kua simba inaenda sawa na bacelona dakika moja iliyopita bacelona wamefunga bao la tatu soon simba nayo itafunga37' Ruvu wanafanya jaribio kwa kupiga shuti kuelekea Simba..Lakini mpira unatoka nje
Ruvu Shooting 0-2 Simba SC
Aisee taratibu naona uoande wapili kwa wapinzani wamezima data
Umefanya kazi ila imekua vice versampapaso square aujafanya kaz yake bado
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umefanya kazi ila imekua vice versa
eeeeh kwako mwalimu kashasha45'+2'
Wakati wowote mpira utakuwa mapumziko
Naaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wakiongoza kwa bao mbili kupitia Okwi na Kagere
Ruvu Shooting 0-2 Simba SC