Halafu Mtani tabia ya kutojibu quote umeitolea wapi? πππππTunazuilika na nani
Mmeanza kupiga sala kuhusu mwakani... Bakuli fc hamuelewekiIla mwakani kama ataenda na timu hii, bila kuifanyia any reformation, hakika kazi mtakuwa nayo, tena isiyo ya mchezo.
Huwa nafurahi sana kusoma nyuzi wanazocheza watani zangu mikia sababu kuanzia mwanzo mpaka mwisho watu mnalalamika tu.
Mnalilia mbeleko. Lol.
Mko wapi 100 Likes, Shunie ,Van pebles, Sapta Sapta na Sanchez magoli mana sijawaona. Teh
Hahahaaa. Lol.Mtani asante kwa kuniita, niko kwenye kamati ya usajili kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
Mmeanza kupiga sala kuhusu mwakani... Bakuli fc hamueleweki
Nashukuru kwa kuniita mtaniHuwa nafurahi sana kusoma nyuzi wanazocheza watani zangu mikia sababu kuanzia mwanzo mpaka mwisho watu mnalalamika tu.
Mnalilia mbeleko. Lol.
Mko wapi 100 Likes, Shunie ,Van pebles, Sapta Sapta na Sanchez magoli mana sijawaona. Teh
Endelea kusubiri inawezekana tu..Fanya masihara muone. You left with 2 loss, 2 draw and 1 win, niambie matokeo yakiwa hivyo itakuwaje?
Ninasubiri mkuu, uteleze tu kama Jana nipunguze gap, by the way nimerejea kileleni.Endelea kusubiri inawezekana tu..
Naona upo juu mkuu... tingisha tunguli tupoteze pointNinasubiri mkuu, uteleze tu kama Jana nipunguze gap, by the way nimerejea kileleni.
Naona upo juu mkuu... tingisha tunguli tupoteze point
Mara paap!.. Yanga mkabeba ndoo, nafikiri mtamvua nguo ZAHERA na kumbeba juu juu kumtembeza nchi nzimaNshawaendea Sumbawanga mkuu,
subiri majibu yanakuja, jiandae kuyapokea.