3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Ni kweli .. Je wewe yanga umechukua point ngapi kwa SIMBA?...Kagera kachukua point 6 kutoka kwa midebwedo fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli .. Je wewe yanga umechukua point ngapi kwa SIMBA?...Kagera kachukua point 6 kutoka kwa midebwedo fc
Hawa si walifunga 8 majuzi kati hapa!!!?
Kweli.. game ijayo inabidi iwe kufa na kupona, mzaha umezidi sanaTusipokuwa makini simba tutakosa ubingwa hivi hivi
Tusipokuwa makini simba tutakosa ubingwa hivi hivi
Bado point 8 tu mkuu usiwe na hofu.
Kweli.. game ijayo inabidi iwe kufa na kupona, mzaha umezidi sana
Hata kama 8 tunatakiwa kuzichukua kabla,mpira unadunda hautabiriki
6 Zinabaki kwa mtibwaSimba point 82 bado game 5
Yanga point 80 bado game 3
Hakuna shida.. Tukishinda Usijekusema tumebebwa na tabia zenu za Zahera6 Zinabaki kwa mtibwa
KabisaHeri tuchukue points 8 mapema ili tuwe na uhakika
Mikia fc bado anazo draw 2 na loss moja na win 2 kwenye game zake zilizobaki, ila atakuwa bingwa kwa kuwa opponent wake keshapotea maxima.Kabisa
Kumbe tayari una matokeo mfukoni mkuu... Mbona zahera huwa ataki tushinde.Mikia fc bado anazo draw 2 na loss moja na win 2 kwenye game zake zilizobaki, ila atakuwa bingwa kwa kuwa opponent wake keshapotea maxima.
Asante mkuuSimba ana points 82 michezo 33
Yanga ana points 80 michezo 35
Yanga anacheza kesho ntakufahamisha na nani
Ila mwakani kama ataenda na timu hii, bila kuifanyia any reformation, hakika kazi mtakuwa nayo, tena isiyo ya mchezo.Kumbe tayari una matokeo mfukoni mkuu... Mbona zahera huwa ataki tushinde.
Ebu leta ya yanga kuanzia game ya kesho.
Ruvu Shooting wazee wa mpapasoSimba ana points 82 michezo 33
Yanga ana points 80 michezo 35
Yanga anacheza kesho ntakufahamisha na nani
Walidhani YangaWalidhani coast union
Ukiwa mpenzi wa mpira ni zaidi ya tejaAaaah Kuna siku nitaacha kishabiki Mpira maana naona ni uchizi fulani vile.
Timu inafungwa furaha zote za siku nzima zinayeyuka.