Tanzania Premier League (TPL).... Simba SC dhidi ya Azam FC, moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Tanzania Premier League (TPL).... Simba SC dhidi ya Azam FC, moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Tuna kona 11 lakini hatunaga faida nazo, Patrick Ausem sijui halionagi hili angalau kwenye faulo tunajitahidigi kidogo
 
90' fourth official ameongeza dakika 4 kutamatisha mchezo huu
 
92' Razak Abarola amezawadiwa kadi ya njano baada ya kumtolea maneno ya hovyo muamuzi Evans Mabena
 
Huu mchezo, ngoma ni droo. Simba wasipokuwa makini , Yanga wanachukua ubingwa
 
95' na mpira umekwisha, Simba 0-0 Azam

tukutane kesho panapo uzima

Asalam Aleyqum
 
Back
Top Bottom