Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Unaangalia mpira kweli uone nduguzo wanavyofanywa?Kwahyo team ya udongo pitch ikiwa na maji mnafugwa
Ukiona Yanga anaongoza ligi, ujue Simba SC hajacheza..!
SimbaNguvuMoja
Kwa mnavyowafanya Mpaka sasa mmeshinda ngapi?Unaangalia mpira kweli uone nduguzo wanavyofanywa?
Wanatolewa ulimu huko wanachezewa Robo uwanjaKwa mnavyowafanya Mpaka sasa mmeshinda ngapi?
kweli mkuu atafute mbinu nyingineHizi kona mamaee hazinaga faida kwetu kocha sijui haonagi timu inaweza kupata kona 30 isifunge hata moja
πππππ Vipi unateseka?Kwa mnavyowafanya Mpaka sasa mmeshinda ngapi?
KILA LA HERI MTIBWA SUKARI