Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
AdebayoooBokooooooooooo
Nilikuwa nakutarajia hapa...asante kwa kuja
wakuondoka ni salamba arudi lipuliHalafu kuna taka taka zinasema "Bocco" aondoke msimu ujao eti umri umeenda wakati zenyewe zinazo ongea hivyo ni ma 'ajuza' na vikongwe tupu.
Half time au?Haltime simba 1 mtibwa 0
Niko hapa hadi mwisho wa kipindi cha pili
Bocco anakujaNa ukiona Makambo ana goli 16 ?... Jua Bocco anakuja.
Ndio mkuu hapo ni error kwenye typing nimerekebishaHalf time au?