Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Singida United, Uwanja wa Taifa Dar es salaam

Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Singida United, Uwanja wa Taifa Dar es salaam

Msiwe mmaquote bila kuangalia comment ilikuwaje..!

Tuligusia kuwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki wakilishi pekee ni Simba Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa mnavamia kati ndo maana mnapata ukakasi

Kuna aliposema Singida ni nchi nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2018-12-29-18-52-20~2.png

Screenshot_2018-12-29-18-53-22~2.png

Labda ataelewa
 
Kabumbu lipo katikati ya uwanja kuashiria kuanza kwa mchezo wa TPL

Naaaaaaaam mpira umekwisha anza

Simba SC 0-0 Singida United

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiwe mnaquote bila kuangalia comment ilikuwaje..!

Tuligusia kuwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki wakilishi pekee ni Simba Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa mnavamia kati ndo maana mnapata ukakasi

Kuna aliposema Singida ni nchi nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi unazungumzia mechi ya simba dhidi ya singida sasa nimekosea wapi? Chukulia kama mtu hajui singida kama ni timu ya Tanzania angeelewaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom