Msiwe mmaquote bila kuangalia comment ilikuwaje..!
Tuligusia kuwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki wakilishi pekee ni Simba Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa mnavamia kati ndo maana mnapata ukakasi
Kuna aliposema Singida ni nchi nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaTunahamia huku baada ya mda mchache, Mbeya kazi Imekwishwa. Kwa niaba ya kamati ya rohombaya kama Mashujaa, Katibu mwenezi nipo hapa kuona soka la msimbazi
Gari la mkaa ilo lipo garageMkuu Ghazwat Meddie Kagere aka mamba aka mashine ana tatizo gani leo mbona hayupo ata sub? Huyu mwamba namkubali sana.
Yanga mnamchanganya Mungu,huku mnataka mioyo iburudike na sexy soccer ya Simba (inayopatikana Simba pekee) wakati huo huo mnataka ifungwePiga Mikia hiyo....Tuko upande wenu kiroho ndugu zang wote wa Singida United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kufa na kupona aliumiaMkuu Ghazwat Meddie Kagere aka mamba aka mashine ana tatizo gani leo mbona hayupo ata sub? Huyu mwamba namkubali sana.
Yale yale ya NdemlaHuyu dogo habibu Kiyombo si tuliambiwa amefuzu majaribio Kaizer Chiefs na vipimo vya afya alifanyiwa imekuwaje yupo taifa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ina uzi humu nakushauri uende huko
Uzi unazungumzia mechi ya simba dhidi ya singida sasa nimekosea wapi? Chukulia kama mtu hajui singida kama ni timu ya Tanzania angeelewaje?Msiwe mnaquote bila kuangalia comment ilikuwaje..!
Tuligusia kuwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki wakilishi pekee ni Simba Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa mnavamia kati ndo maana mnapata ukakasi
Kuna aliposema Singida ni nchi nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawaHizi tumechomekea tu mkuu. Nipo kwenye web page ya CAF hapa,Simba inajadiliwa kama timu ngumu inayocheza sexy soccer na yenye mashabiki wa kumwagikia