Kila lakheri Singida fanyeni kama mashujaa
Bado tuuuu
Almanusura mtu apigwe hizo na hasa ukizingatia kuna bao, limeficha kapuni aisee..!Leo mtu anakula wiki, Simba piga hao wauza alizeti.
Natesekaje na Makambo anafanya yake kila uchao?
Nunua microwave sasa, maana viporo havina muamana 😀😀😀
Piga Mikia hiyo....Tuko upande wenu kiroho ndugu zang wote wa Singida United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole niliwapa mlivyolazwa njaa na mashujaa fc kwa kuchapwa 3Yaani anapigwa tatu kavu, mbona unashindwa hata kutoa pole. This Is Simba SC
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unazungumzia Kombe la mbuzi, TPL habari ya Kichuya kuwaliza mara mbili Singida & Yanga veeeep?Pole niliwapa mlivyolazwa njaa na mashujaa fc kwa kuchapwa 3
Akawe mfua makoti na modo za Guardiola
Angalia misimamo wa ligi baada ya mechi za leo..!Samahani ,hivi mpaka sasa Simba ina points ngapi? Na tumepishana points ngapi na Vyura Fc? Na je kuna viporo bado vya mechi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapa hongera Mashujaa hawakupaki basi kama Yanga. Wakati Mashujaa wanafunguka kwa Simba Yanga wanamfanya Makambo kuwa beki wakicheza na SimbaPole niliwapa mlivyolazwa njaa na mashujaa fc kwa kuchapwa 3
Almanusura mtu apigwe hizo na hasa ukizingatia kuna bao, limeficha kapuni aisee..!
Kuna MTU anateseka, yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana hata uwaambie mchezo wa kirafiki kamwe hawakubaliNawapa hongera Mashujaa hawakupaki basi kama Yanga. Wakati Mashujaa wanafunguka kwa Simba Yanga wanamfanya Makambo kuwa beki wakicheza na Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupaki basi kumeleta mafanikiò na inamaanisha ulinzi nibora mpaka sasa team ni unbeaten. Na uyo ànaechezeshwa beki mpaka sasa ana magoli 11 ya kufungaNawapa hongera Mashujaa hawakupaki basi kama Yanga. Wakati Mashujaa wanafunguka kwa Simba Yanga wanamfanya Makambo kuwa beki wakicheza na Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimewaona Mashujaa ni bora zaidi kuliko Yanga, vijana wanapasiana mpira na kufunguka kwa Simba wakati Yanga wachezaji wote wamejipanga mstari golini.Kupaki basi kumeleta mafanikiò na inamaanisha ulinzi nibora mpaka sasa team ni unbeaten. Na uyo ànaechezeshwa beki mpaka sasa ana magoli 11 ya kufunga
Lazima uwaone mashujaa bòra sababu wamewatungua goli 3 ningeshangaa ungesema sio boraNdio maana nimewaona Mashujaa ni bora zaidi kuliko Yanga, vijana wanapasiana mpira na kufunguka kwa Simba wakati Yanga wachezaji wote wamejipanga mstari golini.
Najua hata mechi ijayo mtapaki basi la mwendokasi maana mpira wa kisasa umewashinda kabisa ni kupiga na kukimbia kama leo na Mbeya City
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashujaa ni bora zaidi kuliko Yanga, kama wao wanakuja na plan ya kuifunga Simba na Yanga anakuja na plan ya kupaki basi kwa Simba hapo timu bora ni Mashujaa na sio Yanga.Lazima uwaone mashujaa bòra sababu wamewatungua goli 3 ningeshangaa ungesema sio bora
Yanga oyeee
Mashujaa fc oyeee
Green warriors oyeee
Yanga kapaki bus hapo kwenye hiyo nafasi kazi kwako mbumbumbuMashujaa ni bora zaidi kuliko Yanga, kama wao wanakuja na plan ya kuifunga Simba na Yanga anakuja na plan ya kupaki basi kwa Simba hapo timu bora ni Mashujaa na sio Yanga.
Kama unabisha hampaki basi la mwendokasi kwa Simba subiri mechi ijayo. Mnawaogopa Simba kama ukoma.
Sent using Jamii Forums mobile app