Kuacha ni ngumu, hasa kipindi hiki cha mitandao, fanya self control, ya kuchukulia kawaida.
Na majukwaa ya michezo unaachana nayo, mimi huwa naumia kidogo sana, ila hainichukulii muda hasa tukiwa tunafungwa.
Siku hizi hata status za WhatsApp sihangaiki kuangalia manake lazima ziboe kama nimefungwa
Hebu nijitahidi
Ukiangalia unachukulia easy, hivi unajua tunaoumia ni sisi washabiki, wachezaji mishahara yao inabaki pale pale, tena ndiyo kwanza wanaenda club kujipoza machungu.
Unatakiwa kuwa na ushabiki moderate, hizi timu sisi siyo shareholders, ni watu baki tu.
Ukiona mtu kapost kitu unakipuuza tu, ndiyo maana mfano mimi watu wanapoiponda timu nayoshabikia siwajibu, isipokuwa ule utani wa kistaarabu.
Ndio hiko kinanifanya niachane na haya mambo...inaonekana wachezaji kama hawako serious na uchezaji wao
Ni kama wanacheza ili game iishe ila sio kupata ushindi
Muhimu sana kwa afya, ukiwaendekeza unaumia bure.
Unajifunza tu kuwa-ignore wakifungwa, unapunguza kujiumiza kwa vitu ambavyo siyo kosa lako.
Okay
Ujumbe wowote kwa mchumba angu Klopp?manake naona ndio karudi hapa
Mwambie asante kwa jana, kanifurahisha sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti nini?Nilitaka sema Coastal wameuza mechi,ila kwa kuwa washaanza rudisha bas Itakuwa hawajauza....
Nmesema hivo,coastal Itakuwa wamevuta mkwanja mrefu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti nini?
Kuwa shabiki wa simba raha sana
ππππππππππ haziwezi, kwakuwa kisukari mara nyingi huja na stressHivi hizi raha haziwezi kutusababishia kisukari kweli!
Maana Liverpool jana, leo Simba, juzi ile Lipuli.
ππππππππππ haziwezi, kwakuwa kisukari mara nyingi huja na stress
Mkuu, tusiombee haya banah. hao ni ndugu zetu wa damu. tuwaombee mazuri ili siku moja wote tuwe kileleni. πKwa hiyo Timu ya Wananchi wanaweza kukutana na hilo swala siyo?